Somo hili ni mahususi kwa ajili ya wafugaji wote wa kuku, au kwa wale wote ambao wanapenda kufuga kuku. Kwani mfumo huu ni mzuri na humsaidia mfugaji kuweza kutengeza chakula ambacho kina virubishio vyote ambavyo ni muhimu kwa kuku.
JINSI KUANDAA CHAKULA CHA KUKU KUANZIA WIKI LA 1- HADI WIKI LA 8.
Mahitaji.
1. Pumba 60kg
2. Mahind ya kuparaza 10kg
3. Mashudu alizeti 10kg
4. Dagaaa 15kg
5. unga wa mifupa 5kg
6. Chumvi ½
7. premix ¼
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
Related Article
CHAKULA CHA KUKU, KUANZIA WIKI LA NANE NA KUENDELEA.
Mahitaji
1. Pumba ya mahindi yenye chenga- kg 38
2. Mashudu ya alizeti- kg 7.5
3. Mabaki ya dagaa - kg 1.5
4. Chokaa ya kuku - kg 0. 5
5. Unga wa mifupa - kg 0.5
6. Lusina - kg 2
7. Chumvi - kg 0.25
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
2 Comments
Kujua njia bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji naomba mni saidie
ReplyDeletePremix ni nin na naipataje maana mahitaj hayo mengine ni rahis
ReplyDelete